Zelensky adai Trump anapotosha taarifa.

Baada ya Rais Donald Trump kudai kwamba Ukraine ndiyo iliyosababisha uvamizi kamili wa Urusi mwaka 2022, Rais wa Ukraine Vlodymr Zelensky amekanusha taarifa hizo akidai ni upotoshaji wa habari.

Rais Zelensky ameitaka timu ya Trump iwe na ukweli zaidi kuhusu Ukraine na sakata zima kwa ujumla. Rais Zelensky amesema kuwa madai ya Trump kuwa kiwango cha uidhinishaji cha Zelensky kilikuwa asilimia 4 ni upotoshaji wa habari kutoka Russia.

Uchunguzi wa hivi karibuni kutoka taasisi ya kimataifa ya Sosholojia ya Kyiv inadai asilimia 57% ya wananchi wa Ukraine wanamtumaini Rais Zelensky.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *