Wateja CRDB kunufaika na huduma nafuu JKCI

Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kuwapunguzia wateja gharama za vipimo vya afya na Tasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

Makubaliano hayo yalisainiwa na Afisa Mkuu Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile, na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge akiiwakilisha taasisi hiyo.

Kutokana na makubaliano haya, wateja wa Benki wenye akaunti ya mshahara, pensheni au wateja wa hadhi maalum wataweza kuchunguza afya zao katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa punguzo la asilimia 50 ya gharama.

Makubaliano haya na JKCI ni mwendelezo wa sera ya Benki yetu kumjali mteja kwani tunaamini mteja mwenye afya njema ana nafasi kubwa ya kupanga na kuitekeleza mipango yake ya kiuchumi.

Benki ya CRDB itaendelea kuwajali wateja na kuthamini afya zao kwani ni kwa msingi huo huduma zetu zitakuwa endelevu.

#CRDBBank
#UlipoTupo

Mshirikishe Mwingine

One Response

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *