Wakili Mahinyila ashinda uenyekiti mpya BAVICHA

Wakili Deogratius Mahinyila ametangazwa ushindi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa (BAVICHA) baada ya kupata kura nyingi mbele ya mpinzani wake.

Deogratius Mahinyila ameshinda nafasi hiyo mbele ya mpinzani wake Hamis Masoud Mambo aliyekuwa anachuana naye kwenye nafasi hiyo.

Kura zilizopigwa zilikuwa 317 huku moja ikiharibika. Hamis Mambo alipata kura 112 sawa na asilimia 35.3% ya kura zilizopigwa huku mshindi Deogratius Mahinyila alipata kura 204 sawa na asilimia 64%.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *