Waandishi wa habari kupewa press card za kidijitali 2025.

Msemaji Mkuu wa Serikali Tanzania Gerson Msigwa amesema kuwa kwanzia mwaka 2025 Serikali itaanza kutoa Press Card za kidijitali kwa waandishi wa habari.

Msigwa ameyasema haya katika kikao cha kazi baina yake na jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

“Bodi imeundwa na imeanza kufanya kazi na tutaizindua Machi 3, 2025 na baada ya kuzindua tutaanza kufanya kazi na tutatoa press kadi za kidijitali. Mtu akiwa anataka na tunamjua, tunamwambia ingia kwenye mfumo na ujaze,” amesema Msigwa.

Aidha Serikali imepanga kuboresha mazingira ya tasnia ya habari. Bodi ya ithibati ya vyombo vya habari itazinduliwa Machi 3, 2025

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *