Uzimaji moto waendelea Los Angeles

Jitihada za kuzima moto zinaendelea Jijini Los Angeles nchini Marekani huku taarifa zikidai moto huo unazidi kushamiri.

Mamlaka imewatak wakazi wa Jiji hilo kuhama na kutafuta maeneo salama zaidi huku picha zikionyesha nyumba za mastaa mbalimbali zikiteketea maeneo ya Brentwood and Mandeville Canyon akiwemo Mel Gibson, Paris Hilton, Eugene Levy , Jhene Aiko, Bill Crystal na wengine wengi.

Moto huo ulizuka siku ya Alhamisi Januari 9, 2025 na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kuteketeza kwa makazi ya watu.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *