Tyson kurejea ulingoni tena dhidi ya Evander.

Mkongwe wa ndondi Mike Tyson mwenye umri wa miaka 58 amepanga kurejea tena ulingoni kupigana baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Jake Paul, Novemba 15, 2024 ikiwa ni baada ya kutangaza kustaafu miaka 20 iliyopita.

Awamu hii tyson amepanga kupigan na mkongwe mwenzake Evander Holyfield mwenye umri wa miaka 62 ambaye mara ya mwisho wawili hao walipigana mwaka 1996 pambano ambalo lilimalizika raundi ya 11 baada ya Tyson kumng’ata Evander skio habari iliyoshika kasi kipindi hicho.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *