Trump kurudisha wazamiaji nchi walizotoka.

Baada ya kuapishwa kama Rais mpya wa Marekani, Donald Trump ameapa rasmi kulitumikia taifa hilo huku akisisitiza usalama wa mipaka, kukomesha uhamiaji haramu na kuwarudisha makwao wahamiaji haramu wote.

Rais huyo wa 47 wa Marekani aliahidi hayo baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa Capitol, Washington DC nchini Marekani.

“Kwanza nitatangaza hali ya dharura kitaifa katika mpaka wetu wa kusini, uingiaji haramu utasitishwa mara moja na tutaanza mchakato wa kuwarudisha mamilioni ya wageni haramu katika maeneo waliokotoka,” alisema Trump.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *