Trump awagomea wanaume waliobadili jinsia kushiriki michezo ya wanawake.

Rais wa Marekani Donald Trump amesaini agizo linalopiga marufuku wanaume waliobadili jinsia kushiriki michezo ya wanawake ambapo amesema kuanzia sasa michezo ya wanawake itakuwa ya wanawake pekee.

Trump ameyasema hayo akiwa Ikulu ya nchini Marekani akiwa amezungukwa na wanariadha wakike. Trump ametoa agizo hilo huku akitolea mifano wanaume wanaojidai kuwa wasichana kwa kuiba ushindi wa wanawake.

Swala la kubadili jinsia lilikuwa gumzo kuelekea uchaguzi wa Novemba nchini Marekani ambapo katika kampeni zake Trump aliwataja wanawake waliobadili jinsia kuwa wanaume na kuahidi kuwazuia wanaume wasishirki michezo ya wanawake.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *