Watu 53 wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Congo.

Madaktari wa Shirika la Afya duniani (WHO) wamethibitisha kuwa zaidi ya watu 50 wamefariki kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ugonjwa usiojulikana. Mkurugenzi wa hospitali ya Bikoro, Serge Ngalebeto amesema kuwa muda kati ya kuanza kwa dalili na kifo ni masaa 48 kwa wagonjwa wengi huku hali hiyo ikitia wasiwasi. Mlipuko wa […]
Shirika la WHO lapunguza bajeti baada ya Marekani kujitoa.

Shirika la Afya duniani (WHO) linatarajia kupunguza kiasi cha dola milioni 400 za bajeti yake kufuatia uamuzi wa Marekani kujitoa katika Shirika hilo. Kuelekea kikao cha Shirika hilo cha kila mwaka cha bodi ya utendaji nyaraka zilizotolewa zinaonyesha kuwa Shirika hilo linapanga kupunguza fedha za kugharamia miradi kutoka dola bilioni 5.3 hadi bilioni 4.9. Kiwango […]
Tanzania yathibitisha mtu mmoja apatikana na kirusi cha Marburg, Kagera.

Baada ya tetesi zilizoenea kuwepo kwa kirusi cha Marburg wiki kadhaa nyuma, imethibitishwa kuwa kirusi hicho kimepatikana kwa mtu mmoja tu baada ya sampuli zilizofanyiwa uchunguzi kukamilika. Hayo yamethibitishwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alipotembelewa na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus akiwa Ikulu ya Chamwino, Jijini […]
Wizara ya Afya yathibitisha tetesi za ugonjwa wa Marburg Kagera.

Wizara ya Afya imethibitisha kupokea tetesi za uwepo wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera ambapo Wizara imepanga kutuma timu ya wataalamu kadhaa kuchukua sampuli kisha kufanyia uchunguzi Maabara. Akithibitisha tetesi hizo Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amesema ” Mpaka Januari 15, 2025 majibu ya uchunguzi wa kimaabara kutoka kwa wahisiwa wote waliochukuliwa […]