TRA yakemea wanaodanganya watu kufuta madeni ya kodi.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amekemea vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na watu wanaodai kuwa na uwezo wa kusamehe madeni ya kodi. Mwenda ametoa onyo hilo baada ya jeshi la polisi kukamata watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maofisa wa TRA na kuwa wanauwezo wakusamehe madeni ya kodi. Mwendo […]
Rais Samia apewa tuzo ya uhamasishaji wa ulipaji kodi kwa hiari

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imemkabidhi tuzo ya kumshukuru kuunga mkono uhamasishaji wa ulipaji kodi kwa hiari na kurahisisha ukusanyaji wa mapato kwa mwaka 2023/2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Tuzo hizi zimefanyika katika maadhimisho ya siku ya mlipa kodi katika ukumbi wa Superdome Masaki, jijini Dar es Salaam […]