Waandishi wa habari kupewa press card za kidijitali 2025.

Msemaji Mkuu wa Serikali Tanzania Gerson Msigwa amesema kuwa kwanzia mwaka 2025 Serikali itaanza kutoa Press Card za kidijitali kwa waandishi wa habari. Msigwa ameyasema haya katika kikao cha kazi baina yake na jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) kilichofanyika jijini Dar es Salaam. “Bodi imeundwa na imeanza kufanya kazi na tutaizindua Machi 3, 2025 na […]