Profesa Sarungi afariki dunia.

Waziri wa zamani wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Prof. Philemon Sarungi amefariki dunia. Taarifa hii imetolewa na msemaji wa familia Martin Leonard Sarungi. “Familia ya Chifu Sarungi na ukoo wa.Nyiratho wa Utegi, Rorya, tunasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Mzee Profesa Philemon Mikol Sarungi kilichotokea leo tarehe 05/03/2025 saa kumi jioni, msiba upo […]
Agha Khan IV afariki dunia.

Kiongozi mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 jijini Lisbon, Ureno. Mtukufu Aga Khan, anayefahamika kama Karim Al-Hussaini Aga Khan IV, alijulikana kwa mchango wake mkubwa katika kuboresha ustawi wa binadamu kupitia miradi […]