LHRC yataka masheikh waachiwe huru kama hakuna ushahidi.

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeiomba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaachia Masheikh 51 wanaoshikiliwa katika magereza tofauti tofauti kwa takriban miaka 10 sasa bila kufikishwa mahakamani ikiwa ni kinyume na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977. LHRC inadai kuwa kitendo cha Jamhuri kuwafunga miaka yote hiyo bila kuwafikisha mahakamani […]
TLS yasisitiza kuendelea kushirikiana na Serikali.

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema chama hicho kinaposhirikiana na Serikali haimaanishi kuwa wanalamba asali na wao sio magaidi. Akizungumza hayo kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini yanayofanyika viwanja vya Chinangali Park, Dodoma ambapo mgeni rasmi akiwa Rais Samia Suluhu Hassan. “Tunapata changamoto watu wanapoona tukishirikuana na Serikali, wanafikiri […]