NMB yafuturisha watoto wenye uhitaji na wadau mbalimbali.

Benki ya NMB katika hali ya kudumisha upendo na mshikamano katika kipindi hichi cha Ramadhani ilifanikiwa kuandaa futari maalumu kwa watoto wenye uhitaji, wateja wao, viongozi wa dini na wadau mbalimbali katika ukumbi wa Superdome Masaki jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la hafla hiyo ya NMB ilikuwa kutoa msaada wa vyakula na zawadi mbalimbali […]

NMB mwajiri kinara 2025 Tanzania.

Benki ya NMB imeandika historia ya kuwa Taasisi ya kwanza nchini Tanzania kutambuliwa na shirika la Top Employers la nchini Uholanzi kama mwajiri kinara wa Tanzania. Taasisi hiyo imezawadia tuzo mashirika mbalimbali kwenye nchi 124. Taarifa hizi zinakuja baada ya NMB kutunukiwa tuzo ya mwajiri bora wa Tanzania mwaka 2023 na mwajiri bora Afrika mwaka […]

NMB yafungua tawi Wete, Pemba

Benki ya NMB sasa inapatikana Mikoa yote Zanzibar. Hii ni baada ya kufungua tawi katika Wilaya ya Wete na Mkoa wa Kaskazini Pemba. Uzinduzi huu umefanywa mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla aliyeambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Zanzibar, Naibu Waziri wa […]