Bashungwa aomba vitambulisho vya NIDA vilivyofutwa virejeshwe

Vitambulisho 31,000 vilivyopata changamoto ya kufutika taarifa zake vimeagizwa kurejeshwa NIDA na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Innocent Bashungwa. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Innocent Bashungwa akiwa kwenye kikao kazi na jukwaa la wahariri (TEF) kilichofanyika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam amesema kuwa vitambulisho vya Taifa vilivyopata changamoto ya kufutika taarifa […]
Jafo aipongeza NIDA kusajili kidijitali

Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ameipongeza Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kusajili kidijitali. Akizungumza hayo wakati akifungua maonesho ya 11 ya biashara ya kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Dimani, Zanzibar. Waziri Jafo amefurahishwa kuona taasisi mbalimbali za usjaili zinavyofanya usajili kielektroniki na kupunguza foleni na usumbufu kwa wafanyabiashara na wananchi kwa […]
Bashungwa awataka wananchi kuchukua vitambulisho vyao vya NIDA.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wananchi kwenda kuchukua vitambulisho vyao vya taifa katika ofisi za Kata, Serikali za Mitaa, Vijiji na Shehia. Alizungumza haya kwenye hafla ya uzinduzi wa mikakati ya mawasiliano ya Wizara, Vyombo vya Usalama vilivyopo chini yake na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa katika Ukumbi wa […]