hatua ya 16 bora UEFA yapamba moto.

Ligi ya mabingwa barani Ulaya Uefa imezidi kupamba moto baada ya droo ya 16 bora kufanyika. Droo hiyo iliyokutanisha vigogo mbalimbali inatarajiwa kushuhudia mtanange mkali baina ya timu za Uingereza, Ujerumani, Hispania, Italia, Uholanzi, Ubelgiji na Ufaransa. Droo hiyo inatarajiwa kuchezwa Mwezi Machi tarehe 4 na 5 huku marudio yakichezwa tarehe 11 na 12 ya […]
RVP kocha mpya Feyenoord.

Gwiji wa Manchester United na timu ya taifa ya Uholanzi Robin Van Persie ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Feyenoord ya ligi kuu nchini Uholanzi. Van Persie amesaini mkataba wa miaka miwili utakaoisha mwaka 2027. Van Persie ataiongoza Feyenoord katika ligi kuu nchini Uholanzi pamoja na ligi ya mabingwa Ulaya UEFA ambapo Feyenoord wapo […]
Mancity, Juventus, Ac Milan na Atalanta zaaga UEFA.

Hatua ya mtoano kwa timu zinazowania nafasi ya kucheza hatua ya 16 bora imeendelea ikishuhudia baadhi ya vigogo wakiaga mashindano hayo huku wengine wakifanikiwa kufuzu hatua inayofata. Manchester City imejikuta ikiendelea kuwa na msimu mbovu baada ya kutolewa na Real Madrid katika mchezo ambao nyota Kylian Mbappe alikuwa katika ubora mkubwa sana akifanikiwa kufunga hattrick. […]
CAF kufuta mashindano ya kombe la Shirikisho.

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limepanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa ligi ya mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF. CAF imekuwa ikichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika na kulingana na ripoti ya CAF inazingatia mfululizo wa mabadiliko ya kisasa na kuboresha muundo wa uuzaji na ushindani wa mashindano ya […]
Barcelona arudi kileleni La Liga.

Hatimaye klabu ya FC Barcelona imerejea kileleni mwa msimamo wa La Liga baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Rayo Vallecano wakifanikiwa kuishusha Real Madrid iliyokuwa ikiongoza msimamo wa ligi hiyo. Katika mchezo huo bao pekee la mchezo huo lilipatikana kwa mkwaju wa penati kupitia mshambuliaji wake Robert Lewandowski katika dakika ya 28 ya mchezo. […]
Aziz Ki afunga ndoa na Hamisa Mobetto.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephan Aziz Ki rasmi amefunga pingu za maisha na mwanamitindo Hamisa Mobetto. Wawili hao wamefungishwa ndoa na jopo la masheikh likiongozwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar katika msikiti wa Masjid Nnuur uliopo Mbweni, Dar es Salaam. Hamisa alilipiw mahari ya ng’ombe 30 na milioni 30 na […]
Merino suluhisho jipya Arsenal.

Klabu ya Arsenal imepata suluhisho katika eneo la ushambuliaji kupitia kwa kiungo wake Mikel Merino aliyewahakikishia hilo. Katika mchezo dhidi ya Leceister City ugenini kiungo huyo akitokea benchi aliweza kuifungia Arsenal goli 2 kwenye ushindi wa 2-0, akicheza kama mshambuliaji wa kati. Sio tu kufunga magoli ila jinsi alivyofunga magoli ndicho kilichovutia watu wengi huku […]
Kai Havertz nje msimu mzima

Bundi la majeruhi limeendelea kushika kasi kwa washika bunduki wa London Arsenal baada ya mshambuliaji pekee waliyebaki naye Kai Havertz kuumia. Wakiwa kwenye huzuni ya kuwakosa Gabriel Jesus, Bukayo Saka na Gabriel Martineli Arsenal imeongeza idadi ya majeruhi kupitia Kai Havertz ambaye ataukosa msimu mzima kwa majeraha ya misuli ya paja. Mashabiki wa Arsenal wamechukizwa […]
Uwanja wa Mkapa kukarabatiwa kukidhi mashindano ya AFCON na CHAN.

Mwenyekti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Husna Sekiboko ametoa agizo kwa serikali kuhakikisha ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa unakamilika ifikapo Aprili 2025 ili kuhakikisha uwanja huo unakidhi viwango vya kimataifa kwa ajili ya mashindano ya CHAN 2024 na AFCON 2027. Azimio hilo limetolewa wakati wa kikao cha […]
FA yazidi kupamba moto.

Baada ya Arsenal kutolewa mzunguko wa kwanza klabu za Liverpool na Chelsea hazijafanikiwa kufuzu raundi ya tatu ya mashindano hayo baada ya kutolewa katika raundi ya pili. Liverpool imejikuta ikitokewa ugenini dhidi ya Plymouth Argyle (1-0) huku Chelsea wakitolewa ugenini dhidi ya Brighton (2-1). Manchester United na Manchester City wamefanikiwa kufuzu hatua inayofata huku Tottenham […]