Jafo aipongeza NIDA kusajili kidijitali

Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ameipongeza Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kusajili kidijitali. Akizungumza hayo wakati akifungua maonesho ya 11 ya biashara ya kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Dimani, Zanzibar. Waziri Jafo amefurahishwa kuona taasisi mbalimbali za usjaili zinavyofanya usajili kielektroniki na kupunguza foleni na usumbufu kwa wafanyabiashara na wananchi kwa […]
Bashungwa awataka wananchi kuchukua vitambulisho vyao vya NIDA.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wananchi kwenda kuchukua vitambulisho vyao vya taifa katika ofisi za Kata, Serikali za Mitaa, Vijiji na Shehia. Alizungumza haya kwenye hafla ya uzinduzi wa mikakati ya mawasiliano ya Wizara, Vyombo vya Usalama vilivyopo chini yake na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa katika Ukumbi wa […]
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli limeiomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha kujenga mtandao wa mabomba ya kusambaza gesi asilia katika nyumba 451 kata ya Mnazi Mmoja Mkoani Lindi.
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limeiomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha ujenzi wa bomba la kusambaza gesi asilia lenye urefu wa mita 200 katika eneo la Mlimani City, Manispaa ya Ubungo, Mkoa wa Dar es Salaam.
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limeiomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha ujenzi wa njia ya kusambaza gesi asilia yenye urefu wa mita 300 kutoka bomba la usambazaji wa gesi asilia lililopo Tegeta hadi eneo la mradi wa kujenga kituo cha kushindilia gesi asilia cha PUMA Energy Tanga […]
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limeomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha ujenzi wa njia ya kusambaza gesi asilia yenye urefu wa mita 30 kutoka bomba la usambazaji wa gesi asili iliopo barabara ya Bagamoyo hadi kituo cha PUMA kilichopo Mbezi Beach Manispaa ya Kinondoni , Mkoa wa […]
Crdb yaja na mkopo wa ‘ADA LOAN’.

Benki ya CRDB sasa kurahisisha wanafunzi kwenda mashuleni kwa wakati kupitia mkopo wa ‘ADA LOAN’. Mkopo huo wa hadi Shilingi milioni 12 ni mkombozi katika sekta ya elimu nchini kuanzia elimu ya awali mpaka elimu ya juu. Mkopo huo unakwenda kusaidia wazazi, walezi na hata wanafunzi kukamilisha malipo yao ya ada kirahisi wakiwa popote kupitia […]
Benki Kuu kuendelea kutoa riba asilimia 6

Kamati ya sera ya fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imeamua kuendelea na kiwango cha asilimia 6 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2025. Hayo yametolewa na Gavana wa Benki Kuu Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kikao cha kamati ya fedha kilichofanyika tarehe 7 Januari. “Uamuzi huo wa kamati wa […]
Noti za zamani za Shilingi ya Tanzania kuondolewa kwenye mzunguko

Awali tarehe 11 Okotoba mwaka 2024, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilifahamisha umma kuhusu zoezi la kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za Shilingi 20, 200, 500, 1000, 2000, 5000 na 10000 kwa matoleo ya mwaka 1985 hadi mwaka 2003 na noti ya 500 iliyotolewa mwaka 2010 zenye sifa zilizoainishwa kwenye tangazo la Serikali Na. […]
BoT yahimiza wananchi kuacha kutumia Fedha za kigeni kununua bidhaa nchini.

Benki Kuu imewataka wananchi wote kutumia Shilingi ya Tanzania wakati wanapofanya miamala yao nchini katika nyanja mbalimbali. Hayo yamezungumzwa na Gavana wa Benki Kuu Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba ambaye amesema ni kosa kununua, kuuza bidhaa na huduma hapa nchini kwa kutumia fedha za kigeni. Ameongeza kuwa kutumia fedha za kigeni ni kuhujumu uchumi wetu na […]