TMA yadokeza uwepo wa Kimbunga Dikeledi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imejulisha umma uwepo wa Kimbunga Dikeledi katika Bahari ya Hindi mwambao wa pwani ya Msumbiji. Hata hivyo kutokana na ukaribu wa maeneo ambayo Kimbunga Dikeledi kipo sambamba na maeneo ya kusini mwa nchi yetu, upo uwezekano mdogo wa matukio ya vipindi vifupi vya mvua kubwa katika maeneo ya […]

DC Mbozi afariki dunia

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Esther Mahawe amefariki dunia Januari 14, 2025 katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) Mkoani Kilimanjaro alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Hayo yamethibitishwa na msemaji wa familia ambaye anadai kuwa marehemu alikuwa anaugua kwa muda na walijitahidi kutaka kumsafirisha Dar es Salaam kwa matibabu lakini kutokana na hali […]

Goti kumuweka Jesus nje.

Bundi la majeruhi limeendelea kuitesa Arsenal na sasa mshambuliaji wake Gabriel Jesus anatarajiwa kukosekana kwa kipindi kirefu kutokana na kuchanika mishipa ya goti. Hilo limethibitishwa na kocha Mikel Arteta ambaye ameongeza kuwa Arsenal itaingia sokoni Januari hii kujaribu kupata mrithi wa mshambuliaji huyo kwa njia ya mkopo au manunuzi ya jumla. Wakati hayo yakiendelea klabu […]

Simbachawene atangaza usaili wa walioomba ajira za ualimu kufanyika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema kuwa usaili wa walioomba ajira kwenye kada ya ualimu utafanyika kuanzia Januari 14 hadi Februari 24 kwenye vituo vya usaili vilivyopo kwenye Mikoa wanaoishi wasailiwa. Mhe. Waziri ameyazungumza haya kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ofisi za Wizara hiyo […]

Rwegasha ateuliwa Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Umoja wa Afrika.

Mkurugenzi wa huduma za Tiba hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. John Rwegasha ameteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Tiba, Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU). Dkt. Rwegasha amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa nafasi hiyo ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa katika mchakato wa usaili ambapo alikuwa na washindani kutoka mataifa saba Afrika. Dkt. […]

Uzimaji moto waendelea Los Angeles

Jitihada za kuzima moto zinaendelea Jijini Los Angeles nchini Marekani huku taarifa zikidai moto huo unazidi kushamiri. Mamlaka imewatak wakazi wa Jiji hilo kuhama na kutafuta maeneo salama zaidi huku picha zikionyesha nyumba za mastaa mbalimbali zikiteketea maeneo ya Brentwood and Mandeville Canyon akiwemo Mel Gibson, Paris Hilton, Eugene Levy , Jhene Aiko, Bill Crystal […]

Al Jazeera yafungiwa kurusha matangazo DRC

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imekifungia kituo cha televisheni cha Al Jazeera kutokana na kudaiwa kurusha mahojiano na kiongozi wa kundi la Waasi wa M23, Bertrand Bisimwa. Haya yamezungumzwa na Msemaji wa Serikali ya DRC, Patrick Muyaya kupitia Shirika la Habari la DW akielezea kuwa mamlaka zimebatilisha kibali cha kurusha matangazo cha […]

Mahakama yamsamehe Trump mashitaka yake.

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amepewa msamaha wa moja kwa moja dhidi ya kesi ya kughushi nyaraka za biashara kuficha malipo kwa msanii Stormy Daniels. Hapo awali Trump alikuwa ameshtakiwa kwa makosa 34 ya kughushi nyaraka akidaiwa kuficha malipo ya dola 130,000 kwa Stormy Daniels ili kuficha madai ya uhusiano wao wa kimapenzi ambapo […]

Mwigulu aipongeza TRA kuongeza makusanyo ya kodi.

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba ameipongeza TRA kwa kuongeza makusanyo ya kodi kutoka sh. trillioni 22.2 mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia sh. trillioni 27.6 mwaka wa fedha 2023/2024 na kuvunja rekodi ya kukusanya sh. trillioni 16.528 katika kipindi cha nusu mwaka wa fedha 2024/2025 kinachoanza Julai hadi Desemba mwaka 2024. Alizungumza hayo […]

Mahakama kumshitaki Trump kabla ya kurudi madarakani.

Rais mteule wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kusomewa mashitaka katika kesi yake inayomhusu kulipa fedha kwa Star Stormy Daniels ili kumzuia kusema kuhusu uhusiano wa Kingono aliowahi kuwa nao dhidi ya Trump. Jaji wa kesi hiyo Juan Merchan ameonyesha kuwa huwenda Trump asipewe kifungo cha jela, majaribio au faini lakini hatima yake itajulikana baada ya […]