BoT kushiriki maonyesho ya wiki ya wanawake

Benki Kuu ya Tanzania inashiriki katika maonyesho ya wiki ya wanawake yanayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijiji Arusha kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 8 Machi 2025. Katika Maonyesho hayo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima alifanikiwa kutembelea banda la Benki Kuu na kupata elimu kuhusu masuala […]
Dorothy Gwajima aomba kutambulika kwa siku ya wanaume nchini Tanzania

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa siku ya wanaume duniani inayoadhimishwa tarehe 19 Novemba kila mwaka rasmi itambuliwe nchini kama inavyotambuliwa siku ya wanawake duniani. Dkt Gwajima amesema kuwa kwa kutambulika itawafanya wanaume watambue nafasi yao katika kulinda na kuendeleza familia sambamba na kupinga ukatilia katika […]
Kurejesha uhusiano wao, Trump amtaka Zelensky aombe radhi hadharani.

Baada ya mzozano baina ya Rais Donald Trump na Rais Vlodymr Zelensky wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amewapigia simu viongozi hao wawili kuwasihi wamalize tofauti zao na kuendeleza maongezi kuhusiana na ajenda husika. Aidha Rais wa Marekani Donald Trump amesema anahitaji yeye ana Marekani kwa ujumla kuombwa radhi hadharani kwa kilichotokea. Mzozano […]
Thamani ya hisa za Tesla zashusha utajiri wa Elon Musk.

Mfanyabiasha na bilionea Elon Musk amejikuta akipoteza dola billion 22.2 ndani ya siku moja na utajiri wake kwa sasa unakadiriwa kuwa dola billioni 364.3. Mporomoki huu umetokana na kushuka kwa hisa za kampuni yake ya Tesla inayochangia nusu ya utajiri wake. Taarifa zinadai mauzo ya kampuni ya Tesla barani Ulaya yalipungua kwa takribani asilimia 50% […]
Rais Samia azindua Shule ya Sekondari ya Tanga Girls.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga inayofahamika kama “Tanga Girls Secondary School” iliyopo Mabalanga katika kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi. Huu ni muendelezo wa ziara ya Rais Samia ya siku 3 Mkoani Tanga akiwa amtembelea Wilaya ya Kilindi na […]
Ajali ya anga yauwa wawili Arizona.

Shirika la habari la Associated Press limethibitisha kuwa ajali ya ndege mbili ndogo kusini mwa jimbo la Arizona nchini Marekani imesababisha vifo vya watu wawili. Ajali hiyo inayosemekana kutokea uwanja wa ndege wa Marana Tucson ilihusisha ndege mbili ambapo kila ndege ilikuwa na abiria wawili, taarifa zinadai baada ya mgongano huo ndege moja iliweza kutua […]
Dkt. Slaa kupelekwa mahakamani Machi 4.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa kupelekwa Mahakamani mwezi Machi tarehe 4 wakati kesi yake ya kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii itakapotajwa. Dkt Wilbroad Slaa ambaye amewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA na mgombea wa Urais mwaka 2010 anakabiliwa na shutuma za kusambaza taarifa za uongo kupitia […]
Jenerali Muhoozi atishia kuishambulia DRC.

Mkuu wa vikosi vya ulinzi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametishia kushambulia na kuuteka mji wa Bunia ulio katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kupitia mtandao wa X, Jenerali Muhozi alisema “Bunia hivi karibuni itakuwa mikononi mwa UPDF”. Aliendelea kwa kusema “Watu wangu Bahima wanashambuliwa. Hiyo ni hali ya hatari sana kwa wale wanaowashambulia watu […]
Uwanja wa Mkapa kukarabatiwa kukidhi mashindano ya AFCON na CHAN.

Mwenyekti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Husna Sekiboko ametoa agizo kwa serikali kuhakikisha ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa unakamilika ifikapo Aprili 2025 ili kuhakikisha uwanja huo unakidhi viwango vya kimataifa kwa ajili ya mashindano ya CHAN 2024 na AFCON 2027. Azimio hilo limetolewa wakati wa kikao cha […]
Dkt. Nchemba adai bajeti ya Serikali imekumbana na changamoto mwaka jana na huu.

Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba amebainisha kuwa bajeti ya serikali imekumbana na changamoto nyingi katika mwaka jana na mwaka huu akitoa maelezo hayo leo 11 February 2025 Bungeni Dodoma. Uharibifu wa barabara uliosababishwa na hali ya hewa uliathiri miundombinu chini ya Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) umechangia hali […]