TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli limeiomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha kujenga mtandao wa mabomba ya kusambaza gesi asilia katika nyumba 451 kata ya Mnazi Mmoja Mkoani Lindi.
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limeiomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha ujenzi wa bomba la kusambaza gesi asilia lenye urefu wa mita 200 katika eneo la Mlimani City, Manispaa ya Ubungo, Mkoa wa Dar es Salaam.
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limeiomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha ujenzi wa njia ya kusambaza gesi asilia yenye urefu wa mita 300 kutoka bomba la usambazaji wa gesi asilia lililopo Tegeta hadi eneo la mradi wa kujenga kituo cha kushindilia gesi asilia cha PUMA Energy Tanga […]
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limeomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha ujenzi wa njia ya kusambaza gesi asilia yenye urefu wa mita 30 kutoka bomba la usambazaji wa gesi asili iliopo barabara ya Bagamoyo hadi kituo cha PUMA kilichopo Mbezi Beach Manispaa ya Kinondoni , Mkoa wa […]