Tory Lanez adai atatoka gerezani mwaka huu.

Rapa Tory Lanez anayetumikia kifungo cha miaka 10 gerezani baada ya kukutwa na hatia kwenye kesi inayomkabili ya kumpiga risasi mguuni msanii mwenzake Megan thee Stalion amedai kuwa mwaka huu 2025 ataachiwa huru. Tory Lanez amesema hayo kupitia Album yake mpya ya “Peterson” ambapo kwenye Outro ya Album hiyo ameidokeza dunia na mashabiki wake kuwa […]

Fainali ya kombe la dunia kuwa na onyesho kama la Supew bowl

Rais wa FIFA, Gianni Infatino amethibitisha kuwa fainali za kombe la dunia za mwaka 2026 zitakuwa na onyesho la (half time show) kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo. Onyesho hilo litafanyika tarehe 19 Julai 2026 katika uwanja wa MetLife huko New Jersey likiandaliwa kwa ushirikiano na Global Citizen huku Cold Play, Phil […]

Adidas yauza bidhaa zote za Yeezy zilizosalia.

Baada ya kuvunja mkataba na Rapa Kanye West mwishoni mwa 2022, Kampuni ya Adidas imeripotiwa kuuza bidhaa zake zote zilizosalia za viatu vya Kanye West aina ya “Yeezy” vyenye thamani ya Tsh, Trilioni 1.2 rasmi ikihitimisha uhusiano wao na rapa huyo. “Hakuna hata jozi moja ya viatu vya Yeezy iliyobaki, vyote vimeuzwa na ukurasa huo […]

Drake afikia rekodi ya Jay-Z billboard.

Rapa Drake ameendelea kuweka rekodi mpya kwenye muziki baada ya kufikia rekodi ya wasanii Jay-Z na Taylor Swift ya kuwa msanii mwenye idadi nyingi ya albums zilizokamata namba moja kwenye chati ya billboard 200. Wote kwa pamoja wamekaa katika nafasi hiyo mara 14. Drake amefanya hivyo baada ya kutoa album mpya na Msanii Party next-door […]

Kendrick aweka rekodi mpya Spotify.

Rapa Kendrick Lamar ameweka rekodi ya kuwa rapa wa kwanza duniani kufikisha wasikilizaji wa mwezi zaidi ya milioni 100 katika mtandao wa Spotify. Haya yamekuja baada ya mafanikio ya wimbo “Not like Us” katika tamasha la Super Bowl lililofanyika mwaka huu 2025. Tamasha hilo lilitazamwa na watu zaidi ya milioni 133. Ongezeko hilo la wasikilizaji […]

Aziz Ki afunga ndoa na Hamisa Mobetto.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephan Aziz Ki rasmi amefunga pingu za maisha na mwanamitindo Hamisa Mobetto. Wawili hao wamefungishwa ndoa na jopo la masheikh likiongozwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar katika msikiti wa Masjid Nnuur uliopo Mbweni, Dar es Salaam. Hamisa alilipiw mahari ya ng’ombe 30 na milioni 30 na […]

Jux afunga ndoa.

Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava, Juma Mussa Mkambala, anayejulikana kama Juma Jux, amefunga ndoa na Priscilla Ojo, binti wa mwigizaji mashuhuri kutoka nchini Nigeria. Sherehe hiyo ya Kiislamu ilifanyika wiki hii jijini Dar es Salaam, ikihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tanzania akiwemo Diamond Platnumz, G nako, Ommy Dimpoz na wengine wengi kutoka […]

Chris Brown ashinda Grammy ya pili.

Baada ya takribani miaka 12 ya kuikosa tuzo hiyo kwa kashfa mbalimbali hatimaye msanii Chris Brown ameshinda tuzo ya Grammy kwa mara nyingine tena. Chris Brown amefanikiwa kushinda tuzo ya album bora ya Rnb “11:11 (Deluxe)” inayomfanya kufikisha jumla ya tuzo 2 za Grammy kwenye maisha yake ya muziki.Tuzo ya kwanza alipata mwaka 2012 kupitia […]

The Weeknd kutumia jina la Abel kisanii.

Msanii maarufu wa muziki wa pop duniani, The Weeknd rasmi amebadili jina lake la usanii na sasa hataitwa tena The Weeknd badala yake atatumia jina lake halisi la Abel. Hii ni kufikia mwisho wa safari yake ya kimuziki kama The Weeknd, kwa kufanya hivyo msanii huyo ametoa album ya mwisho kwa jina hilo kama kumbukumbu […]

Joyner Lucas amtaka Meek Mill kwenye ulingo wa rap

Rapa Joyner Lucas ameweka wazi nia yake yakurudi kwenye mashindano ya rap baada ya kuandika kwenye mtandao wa X matamanio yake. “Wakati mwingine najikuta natamani kurudi kwenye ulingo wa URL battle rap” aliandika hivyo. URL ( Ultimate Rap League) walijubu nukuu yake kwa kuonyesha utayari wao wakisema “Tufanye kazi hiyo”. Aidha matamanio yake awali yalikuwa […]