Wateja CRDB kunufaika na huduma nafuu JKCI

Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kuwapunguzia wateja gharama za vipimo vya afya na Tasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Makubaliano hayo yalisainiwa na Afisa Mkuu Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile, na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge akiiwakilisha taasisi hiyo. Kutokana na makubaliano haya, wateja wa Benki wenye akaunti ya mshahara, […]