Gwiji wa Manchester United na timu ya taifa ya Uholanzi Robin Van Persie ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Feyenoord ya ligi kuu nchini Uholanzi.

Van Persie amesaini mkataba wa miaka miwili utakaoisha mwaka 2027. Van Persie ataiongoza Feyenoord katika ligi kuu nchini Uholanzi pamoja na ligi ya mabingwa Ulaya UEFA ambapo Feyenoord wapo hatua ya 16 bora.

Kabla ya kuchukua mikoba ya Feyenoord, Van Persie alikuwa kocha wa klabu ya Heerenveen iliyopo ligi kuu Uholanzi. Katika maisha yake ya mpira amewahi kuzichezea Feyenoord, Arsenal na Manchester United.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *