Rais Samia kuwakilisha CCM uchaguzi 2025.

Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika Dodoma, umempitisha kwa asilimia 100 jina la Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye atakayegombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.

Rais Samia Suluhu Hassan alipata kura zote za ndio 1924 ikiwa ni asilimia 100 ya kure zilizopigwa na wajumbe.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *