Rais Samia azindua Shule ya Sekondari ya Tanga Girls.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga inayofahamika kama “Tanga Girls Secondary School” iliyopo Mabalanga katika kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi.

Huu ni muendelezo wa ziara ya Rais Samia ya siku 3 Mkoani Tanga akiwa amtembelea Wilaya ya Kilindi na Mji wa Handeni huku akisisitiza miradi mikubwa itaendelea kufanyika maeneo hayo hususan mradi wa utakaonufaisha Miji 28 mkoani humo.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *