Klabu ya Arsenal imepata suluhisho katika eneo la ushambuliaji kupitia kwa kiungo wake Mikel Merino aliyewahakikishia hilo.

Katika mchezo dhidi ya Leceister City ugenini kiungo huyo akitokea benchi aliweza kuifungia Arsenal goli 2 kwenye ushindi wa 2-0, akicheza kama mshambuliaji wa kati.

Sio tu kufunga magoli ila jinsi alivyofunga magoli ndicho kilichovutia watu wengi huku goli la pili likiwa ni la mithili ya mshambuliaji mzoefu.

Merino ameipa Arsenal matumaini ya kuendelea kumtumia eneo hilo baada ya kutarajia kucheza mechi zote zilizobaki bila ya Kai Havertz na Gabriel Jesus.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *