Marekani yaitaka Rwanda kusitisha mapigano Congo.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeitaka Rwanda kusitisha mapigano mara moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huku ikitoa tahadhari juu ya kuunga mkono kundi la M23 lililoteka mji wa Goma.

Katika mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, Waziri Marco Rubio amesisitiza kuwa Marekani inasikitishwa sana na ongezeko la vurugu zinazoendelea mashariki mwa DRC.

Hata hivyo, Rwanda imekanusha mashtaka ya kutaka kudhibiti madini DRC, ikisema lengo lake ni kukabiliana na kundi lenye silaha liitwalo FDLR, ambalo linaundwa na wanamgambo wa Kihutu kufuatia mauaji ya kimbari ya Rwanda.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *