M23 yateka uwanja wa ndege wa Goma.

Kundi la waasi wa M23 limeripotiwa kuudhibiti uwanja wa ndege wa Goma na kwa sasa upo mikononi mwao. Tukio hili limefanya kuzuia njia inayoleta misaada ya kibinadamu kutoka mataifa mbalimbali kuingizwa Congo.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa waasi hao wameteka uwanja wa ndege pamoja na wanajeshi zaidi ya 1200 wa Congo ambao wamejisalimisha na wameshikiliwa katika kambi ya Umoja wa Mataifa.

Umoja wa mataifa wamesema hosipitali zimezidiwa na mamia ya majeruhi kufuatia makabiliano kati ya Jeshi la Congo na waasi wa M23.

Waasi wa M23 wamedai hawataacha mpaka watakapompindya Rais Felix Tshisekedi wakidai uongozi wake sio wa haki kwa wananchi wa Congo.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *