Liverpool kuivaa Newcastle Wembley.

klabu ya Liverpool imefanikiwa kufuzu fainali ya kombe la Carabao baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tottenham Hotspurs katika mchezo wa nusu fainali. Mchezo huo ambao ulianza kwa Tottenham kuwa na faidi ya ushindi wa nyumbani (1-0) uliwalazimu Liverpool kutumia uwanja wao wa nyumbani vizuri kuhakikisha wanafuzu fainali hiyo.

Liverpool itakipiga na Newcastle United waliofanikiwa kuitoa Arsenal katika mchezo wa nusu fainali ya kombe hilo. Mchezo huo unatarajiwa kufanyika siku ya tarehe 16 Mwezi Machi, 2025 katika uwanja wa Wembley.

Hii inakuwa fainali ya kwanza kwa kocha Arne Slott akiwa na msimu wake wa kwanza kama kocha wa Liverpool.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *