Raundi ya 16 bora ya ligi ya mabingwa barani Ulaya inatarajiwa kuendelea usiku wa leo katika viwanja mbalimbali barani Ulaya.
Raundi ya kwanza ya michezo hiyo inatarajiwa kuchezwa tarehe 4 na 5 pamoja na tarehe 11 na 12 ya mwezi wa 4.
Timu za Arsenal, Real Madrid, Atletico Madrid, Barcelona, Bayern Munich, Liverpool na Barcelona zinapewa nafasi yakubeba taji hilo.