Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ameweka msimamo wake wa kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Ndg. Tundu Lissu kwenye nafasi ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho.

Lema amedai kuwa endapo uchaguzi utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki basi Mwenyekiti wa CHADEMA wa sasa, Freeman Mbowe hawezi kushinda.

“Ninachowaambia ni kuwa kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Mwenyekiti hawezi kushinda take my word. Yani Mwenyekiti ana watu wachache sana wanaomuunga mkono,” alisema Lema.

Mbali na hilo Godbless Lema ameweka wazi hatogombea ubunge wa Arusha Mjini kwenye uchaguzi ujao kutokana na baadhi ya watu kuhisi anategemea sana nafasi hiyo ili kufanya harakati zake za kisiasa.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *