Kendrick aweka rekodi mpya Spotify.

Rapa Kendrick Lamar ameweka rekodi ya kuwa rapa wa kwanza duniani kufikisha wasikilizaji wa mwezi zaidi ya milioni 100 katika mtandao wa Spotify.

Haya yamekuja baada ya mafanikio ya wimbo “Not like Us” katika tamasha la Super Bowl lililofanyika mwaka huu 2025. Tamasha hilo lilitazamwa na watu zaidi ya milioni 133.

Ongezeko hilo la wasikilizaji katika mtandao huo umemfanya Kendrick kuvunja rekodi ya rapa Drake ambaye awali alikua akishikilia rekodi ya kuwa na wasikilizaji milioni 75.4 kwa mwezi.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *