Bundi la majeruhi limeendelea kushika kasi kwa washika bunduki wa London Arsenal baada ya mshambuliaji pekee waliyebaki naye Kai Havertz kuumia.

Wakiwa kwenye huzuni ya kuwakosa Gabriel Jesus, Bukayo Saka na Gabriel Martineli Arsenal imeongeza idadi ya majeruhi kupitia Kai Havertz ambaye ataukosa msimu mzima kwa majeraha ya misuli ya paja.

Mashabiki wa Arsenal wamechukizwa na jinis klabu hiyo inavyoendeshwa huku wengi wakiona uongozi wao haujali baada ya kutosajili mchezaji yeyote dirisha la usajili la Januari.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *