Hatua ya makundi UEFA Champions League kukamilika leo.

Ligi ya mabingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa Champions League kuamuliwa leo huku zikiwa zimefuzu timu 4 mpaka sasa kuelekea hatua ya 16 bora ambazo ni Liverpool, Arsenal, Barcelona pamoja na Inter Milan.

Mechi hizo za mwisho zinatarajiwa kuchezwa zote kwa wakati mmoja kuamua hatma ya timu zitazofuzu moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora huku nyingine zikucheza hatua ya mtoano kufuzu 16 bora.

Macho ya wengi yatakuwa kwa Manchester City, Psg pamoja na Real Madrid kuelekea michezo hii ya mwisho huku wengi wakiwapa nafasi ya kufanya vizuri.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *