hatua ya 16 bora UEFA yapamba moto.

Ligi ya mabingwa barani Ulaya Uefa imezidi kupamba moto baada ya droo ya 16 bora kufanyika. Droo hiyo iliyokutanisha vigogo mbalimbali inatarajiwa kushuhudia mtanange mkali baina ya timu za Uingereza, Ujerumani, Hispania, Italia, Uholanzi, Ubelgiji na Ufaransa.

Droo hiyo inatarajiwa kuchezwa Mwezi Machi tarehe 4 na 5 huku marudio yakichezwa tarehe 11 na 12 ya mwezi huo.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *