Haaland kusalia Etihad mpaka 2034.

Mshambuliaji wa Manchester Erling Braut Haaland amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya ligi kuu nchini Uingereza.

Haaland amesaini mkataba wa miaka 9 na nusu kuitumikia Manchester City. Mkataba huo unatarajiwa kumalizika mwaka 2034. Ingawa una kipengele cha kuununua ifikapo mwaka 2029 unaomruhusu kuweza kusajiliwa na timu nyingine endapo dau tajwa litafikiwa na klabu inayomhitaji.

Mkataba huo unamfanya Halaand kuwa mchezji anayelipwa pesa nyingi katika historia ya Manchester City vilevile moja ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi duniani.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *