Giannis Antetokounmpo Afikisha alama 20000 katika mchezo wa kikapu

Nyota wa Milwaukee bucks Giannis Antetokounmpo ameandikisha hatua yake mpya ya uanamichezo katika mchezo wa kikapu,kwa kuwa mchezaji wa sita mwenye umri mdogo zaidi katika historia ya NBA kufikisha pointi 20,000 katika ushindi wa Bucks wa 137-107 dhidi ya Dallas Mavericks usiku wa Jumatano, huku safari yake yote kufikia hatua hio ikiwa ni ya upekee.

“Mara zote ninapojitazama nyuma, sitaki kusema kwamba ninakuwa na hisia kali, lakini ni hisia nzuri,” Antetokounmpo alisema baada ya mchezo. “Ninajivunia safari yangu, lakini bado nina mengi zaidi ya kutoa.”

Antetokounmpo alifikia rekodi hiyo katika robo ya tatu ya mchezo huo, huku akifunga pointi 32 na kukusanya rebounds 15 ndani ya dakika 25 katika ushindi huo mnono wa Milwaukee.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *