Klabu ya Everton ya ligi kuu nchini Uingereza wamefikia maamuzi ya kumtimua kocha wao Sean Dyche baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa matokeo ya timu hiyo.

Wakongwe Seamus Coleman pamoja na Leighton Baines wanatarajia kuongoza timu hiyo kwa kipindi cha mpito huku uongozi ukitafuta kocha wa kudumu.

Sean Dyche alijiunga na Everton mwaka 2023 akiipokea timu kutoka kwa Frank Lampard. Licha ya kuinusuru timu hiyo kutoshuka daraja kwa misimu miwili mfululizo Everton hawajaridhishwa na mwenendo wake. Kwa sasa Everton inashika nafasi ya 16 ikiwa alama moja mbele ya mstari wa kushuka daraja katika ligi hiyo

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *