Drake afikia rekodi ya Jay-Z billboard.

Rapa Drake ameendelea kuweka rekodi mpya kwenye muziki baada ya kufikia rekodi ya wasanii Jay-Z na Taylor Swift ya kuwa msanii mwenye idadi nyingi ya albums zilizokamata namba moja kwenye chati ya billboard 200. Wote kwa pamoja wamekaa katika nafasi hiyo mara 14.

Drake amefanya hivyo baada ya kutoa album mpya na Msanii Party next-door inayofanya vizuri kwa sasa kwenye chati mbalimbali za muziki.

Mafanikio haya yanakuja ikiwa ni miezi kadhaa baada ya msanii huyo kufunikwa kwenye bifu la rap na rapa Kendrick Lamar.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *