Chelsea, Napoli kupigana vikumbo kumpata Garnacho.

Usajili dirisha la Januari unaendelea na zikiwa zimesalia wiki mbili dirisha la usajili kufungwa taarifa zinahusisha Winga wa Manchester United Alejandro Garnacho kutimka klabuni hapo.

Tayari Napoli kupitia kocha wake Antonio Conte amewasiliana na Garnacho kujiunga na wababe hao wa nchini Itali vilevile taarifa mpya ni kwamba Chelsea wameulizia upatikanaji wa winga huyo majira haya.

Kwa upande wa Manchester United hawajagomea mchezaji huyo kuondoka ila wamesema watasikiliza ofa inayoeleweka kumuachia tofauti na ofa nzuri wapo tayari kumbakisha mchezaji huyo. Wiki mbili zilizobaki zitaamua hatma ya Garnacho katika klabu ya Manchester United.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *