Ikiwa imepita miaka minne tangu Tanzania ipatwe na majonzi ya kumpoteza aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli Machi 17, 2021 kwa maradhi ya moyo leo taifa la Tanzania kwa ujumla litamkumbuka shujaa huyu.

Ndugu, jamaa na marafiki watamkumbuka hayati John Pombe Magufuli kwa ibada itakayofanyika Chato ambayo imeandaliwa na familia yake.

Hayati Magufuli alizaliwa Oktoba 29, 1959 na alifariki Machi 17, 2021 akiwa amehitimisha uongozi wake wa Urais kwa kipindi cha miaka mitano na miezi minne akiwa madarakani.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *