BoT kushiriki maonyesho ya wiki ya wanawake

Benki Kuu ya Tanzania inashiriki katika maonyesho ya wiki ya wanawake yanayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijiji Arusha kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 8 Machi 2025.

Katika Maonyesho hayo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima alifanikiwa kutembelea banda la Benki Kuu na kupata elimu kuhusu masuala mbalimbali kifedha hususan fursa za uwekezaji katika hati fungani.

Benki Kuu inakaribisha wananchi wote kutembelea banda lake ili kupata maarifa maalum kuhusu sekta ya fedha na mchango wake katika maendeleo ya taifa.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *