Bashungwa aomba vitambulisho vya NIDA vilivyofutwa virejeshwe

Vitambulisho 31,000 vilivyopata changamoto ya kufutika taarifa zake vimeagizwa kurejeshwa NIDA na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Innocent Bashungwa.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Innocent Bashungwa akiwa kwenye kikao kazi na jukwaa la wahariri (TEF) kilichofanyika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam amesema kuwa vitambulisho vya Taifa vilivyopata changamoto ya kufutika taarifa zake virejeshwe kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili vitengenezwe vingine.

“Vitambulisho vinavyofutika vikusanywe haraka kwa wananchi 31,000 vizalishwe upya wapewe kwasababu vitambulisho hivi ni kila kitu , ni muhimu,” alisema Mhe. Bashungwa.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *