Barcelona arudi kileleni La Liga.

Hatimaye klabu ya FC Barcelona imerejea kileleni mwa msimamo wa La Liga baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Rayo Vallecano wakifanikiwa kuishusha Real Madrid iliyokuwa ikiongoza msimamo wa ligi hiyo.

Katika mchezo huo bao pekee la mchezo huo lilipatikana kwa mkwaju wa penati kupitia mshambuliaji wake Robert Lewandowski katika dakika ya 28 ya mchezo.

Barcelona sasa inaongoza msimamo huo kwa utofauti wa alama moja dhidi ya hasimu wake Real Madrid na alama 2 dhidi ya Atletico Madrid anayeshika nafasi ya 3 huku ikiwa imesalia michezo 14 ligi hiyo kumalizika.

Kubwa zaidi katika mchezo wa Barcelona ni uwezo aliouonyesha kiungo Pedri Gonzalez huku wengi wakifananisha na gwili wa klabu hiyo Andres Iniesta.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *