FIRESIDE CHAT PODCAST kutoka @creditinfotz inakuletea mazungumzo ya kipekee kati ya Mkurugenzi wa Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Edson Guyai na mtangazaji wako @masoudkipanya Awamu hii kipindi hiki kinachambua masuala muhimu kuhusu uzalishaji wa vitambulisho vya taifa na faida za vitambulisho vya NIDA kwa jamii na uchumi. Creditinfo Tanzania ni taasisi inayopokea na kuchakata taarifa za mikopo, ikitoa huduma muhimu za kusaidia benki na taasisi za kifedha kufanya maamuzi bora ya mikopo.
Well said
One Response
Well said