Waliopita mchujo waitwa usaili BoT.

Benki Kuu ya Tanzania imetoa majina ya waliopita katika usaili wa maandishi huku ikiwaita katika usaili wa mahojiano na vitendo kwa baadhi ya kada.

Tangazo hilo lililochapishwa katika tovuti ya BoT lilieleza wasailiwa waliopita katika mchujo huo wa awali wazingatie mambo kadhaa

“Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili na wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi pamoja na kitambulisho kwaajili ya utambuzi,” ilieleza taarifa hiyo.

Aidha usaili utafanyika ofisi za BoT jijini Dar es Salaam Machi 21, 24 na 24 kulingan na kada husika.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *