Ada Tadea kuwapa kipaumbele wagombea wanawake wenye ulemavu

Chama cha African Democratic Alliance Party (Ada -Tadea) kimesema kuwa kitatoa fomu bure kwa wagombea wanawake na wenye ulemavu watakojitokeza kuwania nafasi ya Urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu.

Hayo yamezungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama Bw. Salehe Msumari mjini Maswa Mkoani Simiyu wakati akiwapokea wanachama wapya 100 waliojiunga na Chama hicho kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini.

Vilevile amesisitiza kuwa chama hicho kimefikia uamuzi huo ili kuyawezesha makundi hayo kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *