Fainali ya kombe la dunia kuwa na onyesho kama la Supew bowl

Rais wa FIFA, Gianni Infatino amethibitisha kuwa fainali za kombe la dunia za mwaka 2026 zitakuwa na onyesho la (half time show) kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo.

Onyesho hilo litafanyika tarehe 19 Julai 2026 katika uwanja wa MetLife huko New Jersey likiandaliwa kwa ushirikiano na Global Citizen huku Cold Play, Phil Harvey na Chris Martin wakiratibu orodha ya wasanii watakaotumbuiza.

Wazo hilo la (half time show) limehamasishwa na onesho la show ya Super Bowl huku FIFA ikilenga kuongeza thamani ya burudani na kuvutia mashabiki wengi zaidi.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *