Dorothy Gwajima aomba kutambulika kwa siku ya wanaume nchini Tanzania

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa siku ya wanaume duniani inayoadhimishwa tarehe 19 Novemba kila mwaka rasmi itambuliwe nchini kama inavyotambuliwa siku ya wanawake duniani.

Dkt Gwajima amesema kuwa kwa kutambulika itawafanya wanaume watambue nafasi yao katika kulinda na kuendeleza familia sambamba na kupinga ukatilia katika jamii.

Waziri Gwajima aliyazungumza hayo wakati wa kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa kanda ya ziwa, lililofanyika Mkoani Geita.

Kilele cha maadhimisho ya siku hayo inatarajiwa kufanyika Machi 8, 2025 Mkoani Arusha huku mgeni rasmi akiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *