Mancity, Juventus, Ac Milan na Atalanta zaaga UEFA.

Hatua ya mtoano kwa timu zinazowania nafasi ya kucheza hatua ya 16 bora imeendelea ikishuhudia baadhi ya vigogo wakiaga mashindano hayo huku wengine wakifanikiwa kufuzu hatua inayofata.

Manchester City imejikuta ikiendelea kuwa na msimu mbovu baada ya kutolewa na Real Madrid katika mchezo ambao nyota Kylian Mbappe alikuwa katika ubora mkubwa sana akifanikiwa kufunga hattrick.

Juventus, Ac Milan pamoja na Atalanta ni timu za nchini Italia zilizoshindwa kufuzu hatua inayofata zikimuacha Inter Milan tu kwenye mashindano hayo akiendelea kuwakilisha timu za Italia.

Droo fupi ya 16 bora inatarajiwa kufanyika hivi karibuni ikihusisha vigogo mbalimbali ikiwemo Liverpool, Barcelona, Arsenal, Real Madrid, Bayern Munich, Inter Milan na Psg.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *